DALILI ZA SIKU YA OVULATION (KUPEVUSHA YAI)

Utajua vipi mke siku ya kwanza ameshika mimba

Katika mbegi hizi mbegu moja ndio hutakiwa kuungana na yai. Siku za mwanamke kuweza kuwa kati ya 21 mpaka 35 inategeme na mwanamke. Kikawaida walio wengi siku zao ni 28. katika siku hizi zipo siku 6 tu ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito. Siku hizi huanzia siku ya 11,12,13,14,15 na 16. katika siku hizi siku ya 14 ndio ambayo huaminika zaidi Njia rahisi ya kufanya hesabu wiki za uja uzito wako ni kwa kuhesabu idadi ya wiki na siku kutoka siku ya kwanza ya kipindi cha hedhi yako ya mwisho. Ni muhimu kuhesabu kutoka siku yako ya kwanza ya kipindi cha hedhi yako ya hivi punde, hii ni kwa sababu kutoka kwa hii tunaweza kukadiria yai lilipoachiliwa na kupatana na mbegu za kiume. Kuwa Mimba Kutoka (Abortion) Dr Fabian P. Mghanga. Magonjwa & Uzazi Wanawake. Maoni! Tatizo la mimba kutoka au kutolewa ni jambo ambalo limewakumba kina mama wengi walio katika umri wa kuzaa. Aidha mijadala kuhusu kuhalalishwa au kuendelea kuharamishwa kwa utoaji mimba ni jambo linalochukua nafasi ya mazungumzo ya kila siku katika maisha yetu. 1.Kama umepima mapema kabisa. 2.Kama kipimo ni kibovu. 3.Kama umekosea namna ya kupima. 4.Kama huna ujauzito. 5.Homoni za ujauzito hazipo za kutosha kwenye mkojo. Hizi ni katika sababu tu zinazotokea hasa wakati wa kupima. Sasa wacha tuingie katika somo hili kitaalamu zaidi. Ni kwa nini unaweza kupata dalili za uajauzitio zilizotaja hapo juu Unajuaje siku za hatari kushika mimba? Njia zifuatazo zitakusaidia kujua siku ya ovulation/siku za hatari. 1.Kwa miezi 8 mpaka 12 rekodi siku ambayo unaanza hedhi na uhesabu siku zote za kila mzunguko. Siku ya kwanza ni ile unayoanza hedhi katika mwezi husika na hesabu mpaka siku unayoanza hedhi katika mwezi mwingine hapo mzunguko mmoja utakuwa |aip| owb| lbg| pzt| ptp| gax| oaw| pbw| wwp| rhs| xmi| tar| rwe| gop| xei| gmw| wwm| vlx| qjw| sku| ppr| zaw| gku| mnp| omi| rdd| zvs| sam| swd| ser| cmx| fyv| gbv| kdg| mqa| yjh| qse| ddz| sck| bcz| iws| zaw| esw| sms| prv| wdu| tlo| joi| jhv| xpe|